Video mpya ya Rick Ross ‘Family Ties’ iko hapa


rick-ross-family-ties
MMG boss Rick Ross ametoa video ya wimbo wake  “Family Ties,”  kutoka kwenye album yake ya mwaka jana ya   Hood Billionaire. Kwenye video hii anaonekana mpenzi wake Lira Mercer
                      

                     

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.