Chochote kinawezekana,Fetty Wap aweka rekodi kwenye chati za bilboard.


 Fetty

Rapa Fetty Wap amekuwa rapa wa kwanza wa kiume kuwa na nyimbo mbili kwenye top 10 singles ya chati za Billboard Hot 100 kwa wakati mmoja.
Rokodi hii ilishikiliwa na rapa Lil Wayne alivyoweka nyimbo zake  “She Will” na “How to Love” kwenye top 10 mnamo September  2011.
Nyimbo za Fetty Wap ni “Trap Queen” na “My Way” ambazo ziko  #6 na #7.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.