Full video ya Lowassa alivyosindikizwa kuchukua fomu ya Urais CHADEMA.
Ni muendelezo wa vichwa vya habari kumuhusu Edward Lowassa, Mbunge wa Monduli lakini pia Waziri mkuu wa zamani ambaye July 28 2015 alihamia rasmi CHADEMA akitokea chama cha CCM, July 30 2015 alijitokeza na kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais, itazame video yenyewe na alivyopokelewa hapa chini…
Hakuna maoni