Iyanya azungumzia kuchukiwa na watu baada ya kuachana na Yvonne Nelson.
Kwenye interview na ‘Real Talk’ msanii wa Nigeria Iyanya ameongelea mahusiano yake na staa wa filamu kutoka Ghana Yvonne Nelson.
Iyanya anasema “Mimi na Yvonne tunaongea kama kawaida ila watu waliniona kama mtu mbaya baada ya kuacha naye, Iyanya anaendelea kusema sababu
ya mimi kuchukiwa ilikuwa sio kuacha naye ila mi ni mtu maarufu na
ukiwa na mtu maarufu kwenye mahusiano kila mtu anasema lake, mimi
sikuwa na raha tulivyoachana ila sikutaka kuonyesha uzuni sasa raia
wakajua nashangilia kumbwaga mtoto wa watu “

Hakuna maoni