Ni moja kati ya Video Mpya,Kubwa & Kali Kutoka kwa BLACK RHINO: "WE GET IT ON"

  Black Rhino(Black Chatta)
                             
Msanii wa HIP HOP na Rappa mkali Black Rhino @blackchatta safari hii amevuka boda mpaka kwa Madiba-(South Africa-Johanesburg) kwa ajili ya kufanya Video yake hiyo  "WE GET IT ON"   
 ft Dj Leo Large, Ishmael & Youngboi Veezo
                         
             CHECK VIDEO HAPO CHINI NI SHIDAA
                             

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.