Hayaaa sasa hawa ndo vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera
sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na
hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa
kusema upo teari kufanya nae kazi wale walokuwa wanasema we sio mzalendo
now sijui wataficha wapi sura zao!
Hubagui huchagui yeyote aje a record bure miaka 6 tu lakini umefanya makubwa kuliko wenye miaka 30 katika game.
Hakuna maoni