Chiwa Man kamwimbia Rose Ndauka? Soudy Brown kapiga naye Story
Add caption |
Moja ya mahusiano yaliyozungumziwa sana baada ya kuvunjika ni penzi la Rose Ndauka na Chiwa Man wa kundi la ‘TNG Squad’…Chiwa Man amesema yupo katika harakati za kuachia ngoma mpya inayozungumzia mahusiano kuhusu mtu kuumizwa.
Amesema si maisha yake bali ni maisha ya kila siku ya watu jinsi wanavyoishi kwenye jamii.

Amesema si maisha yake bali ni maisha ya kila siku ya watu jinsi wanavyoishi kwenye jamii.
Hakuna maoni