Drake alichomfanyia Meek Mil, Meek Mil aliwahi kumfanyia Davido, stori imewekwa hapa.
Baada ya beef kuibuka kati ya rap Drake na
Meek Mill kisa kikiwa Drake kutohudhuria kwenye show ya Meek Mil ya
nyumbani kwao Philadelphia na kuto twit chochote kuhusu album ya Meek
Mil, kitendo ambacho kilimfanya Meek Mil kumdiss kwa kusema ‘Drake
anaandikiwa Mashairi’ mengine yameibuka kutoka Nigeria.
Msanii Davido ambaye alifanya wimbo na Meek Mil ‘Fans Mi’ ameandika twitter ‘KARMA A BI***H …. Lol
” kitu ambacho kimetafsiriwa kana dongo kwa Meek Mil. Fahamu kuwa Meek
Mil pia haku twit chochote kuhusu wimbo wa Davido na yeye. Promoter wa
kampuni ya Davido aliandika hivi kuhusu issue hii
Hakuna maoni