Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/
Unlabelled
/ Full video ya aliyosema Freeman Mbowe baada ya Lowassa kuhamia CHADEMA.
Full video ya aliyosema Freeman Mbowe baada ya Lowassa kuhamia CHADEMA.
July
28 2015 Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa alitangaza
rasmi kuhama CCM na kujiunga na chama cha upinzani (CHADEMA) ikiwa ni
baada ya kudai kutotendewa haki kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais
atakaeipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Haya hapa chini ni maneno ya Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA akiongea dakika chache baada ya kumpokea Edward Lowassa.
Hakuna maoni