FB insta twitter Mtandao wa Twitter umemtambua rasmi John Pombe Magufuli.
Ni waziri ambaye amekua akisifika na kusikika kwenye headlines
mbalimbali na rekodi zake za ufanyaji kazi kwa long time lakini kwa
kipindi chote hicho hajawahi kuwa na account yoyote kwenye mitandao ya
kijamii kama Facebook Twitter au Instagram ambayo ina nguvu kubwa sana kwenye ulimwengu wa sasa.
Baada ya kuteuliwa na CCM kuwania Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015, Dr. Magufuli amefunguliwa account ya twitter kwa mara ya kwanza na imekua verfied, yani
imeidhinishwa au kugongewa muhuri maalum ambao hugongewa watu wachache
duniani wanaokidhi vigezo vinavyotakiwa na makao makuu ya mtandao huu
nchini Marekani kama inavyoonekana kwenye hii picha hapa chini.
Hizi hapa chini ni baadhi ya tweets zilizoandikwa kwenye page hii
mpaka sasa ambapo mpaka July 29 2015, tweet yake ya mwisho iliandikwa
July 26 2015.
Hakuna maoni