Tyga anaisambaza ngoma yake mpya; Master Suite. (Video)

tyga


Tyga anarudi kuziandika headlines za wiki hii kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia ngoma na Chris Brown miezi micache iliypita, Tyga amerudi na video mpya.Kichupa kinaitwa Master Suite.
Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza play kuitazama.
                         

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.