Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Picha )
Apartheid Museum South Africa
Baada ya matembezi hayo..matembezi mengine yalianza hapa
Muonekano wa Air Balloon kwa juu
Picha na selfies ni muhimu mtu wangu kwa ukumbusho.
Badaae
matembezi yakahamia kwenye hii Air Balloon..hili ni puto lenye kikapu
ambalo mtu anaweza kupanda na kufanya matembezi akiwa angani.
Baadhi ya ndege zingine zinazoondoka
Wakiwa angani na kuitazama Johannesburg kwa juu..
Vee Money kwenye studio za TZA (millardayo.com)
Picha ya pamoja kabla ya kubadilisha nguo
Kwenye vazi la kirubani hapa wako tayari ku Take-off!
Matembezi yalianzia Airport hapa ni Rand Airport Johannesburg
VeeMoney ndani ya ndege yupo tayari kuanza safari
Im Ready…Lets do this!!
safari ikaanza..rubani mbele VeeMoney nyuma, hapo vanessa anakupa “Peace sign” ni raha tu!
Vanessa Mdee (Vee Money) ni msanii wa Bongo Fleva anaeipeperusha bendera ya Tz vizuri kwenye nchi mbalimbali za Kiafrika. Akiwa anatamba na single yake mpya ya Nobody But Me VeeMoney ni miongoni mwa wasanii wakubwa sasa hivi Tanzania.
Licha ya kuwa mwanamziki Vanessa bado ni mtangazaji wa MTV ya South Africa kituo kikubwa cha burudani Africa na siku chache zilizopita alionekana kwenye kipindi cha Star Gist kinacho onyeshwa Africa Magic channel 151 kwenye DSTV.
Kwenye kipindi hiki VeeMoney anaungana na mtangazaji Vimbai Mutinhiri na pamoja wanafanya matembezi mbalimbali Johannesburg wakianzia Rand Airport Johannesburg na kutalii sehemu nyingine nyingi ikiwemo kutembelea Apartheid Museum.
Kama ulikikosa kipindi hiki unaweza kukitazama kupitia www.missvimbai.com, na hapa chini nimekuwekea picha zikionyesha jinsi matembezi hayo yalivyokuwa.