Mrembo Shamsa Ford Ajitetea Skendo ya Kuhongwa Simu
Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na hajawahi kununua simu za ‘maana’, alizungumza na mwanahabari wetu na kufafanua:
“Kiukweli simu nyingi za kisasa nimekuwa nikipewa na ndugu, jamaa na marafiki na si kuhongwa na mabwana kama wengi walivyomsema,” alisema Shamsa.
Hakuna maoni