Picha,Baada ya kutimiza miaka 46, Jennifer Lopez Kavalia hili vazi kuonyesha hajazeeka.


Jennifer-Lopez
Ilikuonyesha watu kuwa hajazeeka msanii wa pop Jennifer Lopez  alivalia vazi hili kwenye sherehe fupi ya siku yake ya kuzaliwa wekend hii. Jennifer amefikisha miaka 46.
JLo alikuwa na mpenzi wake Casper Smart mwenye miaka 28 na rapa French Montana .
j lo
j lo 2 j lo 3

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.