Umeisikia mipango ya Irene Uwoya kwenye Ubunge 2015? Msikilize hapa… #Uheard (Audio)
Tuna List kubwa ya mastaa Tz ambao
wamejitokea kutangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye
uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika Oktoba.
Leo Soudy Brown amepiga stori na Irene Uwoya
ambaye anautaka Ubunge kupitia UVCCM Tabora..mwenyewe amefunguka na
kusema nia anayo na uwezo wa kuwaongoza vijana wenzake anao.
Irene Uwoya akiwa katika vazi la CCM
Amesema vipaumbele vyake ni vingi hasa kwa vijana na anataka kuona vijana wanafika mbali katika nyanja mbalimbali.
Msikilize hapa akipiga stori na Soudy Brown.
Hakuna maoni