Video ya Diamond Platnumz ‘Nana’ imefikisha watazamaji Milioni 3.


 diamond platnumz  na flavour
Video ya Diamond Platnumz “NANA” ya wimbo uliotayarishwa na producer Naahreal kutoka Tanzania imefikisha watazamaji milioni tatu mtandaoni. Video hii kashirikishwa Mnigeria Mr Flavour na ilitayarishwa na director Godfather Production.
                       
Haya machache kutoka kwa Diamond ” Hellow my DieHard fans🙋… Jus wanted to Thank and let you know that your Favourite Song #Nana #Sankoro has 3 Million Plus views now… Thanks alot to my Brother @2niteflavour , My Video Director @i_am_godfather , My Dancers, All the Media Around the World, and everyone who made this Happened🙌 💥🔥 Kama Ronaldo!!!! Click the link on my BIO to watch it☝


Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.