Tazama hpa video ya Natalie La Rose ‘Around The World’ Ft Fetty Wap.

natalie-la-rose-world
Baada ya wimbo wake ‘Somebody’ ft Jeremih kuuza kopi milioni moja na kutangazwa platinum, Natalie La Rose ametoa wimbo wa pili  “Around the World” akiwa na rapa Fetty Wap.
Natalie anamalizia album yake ya kwanza chini ya lebel ya msanii Flo Rida ‘International Music Group label’ na Republic Records.  
                      

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.