Album ya tatu ya msanii Future yapata mafanikio makubwa kuliko za awali.


Entertainment

  future
Umoja wa mashabiki wa msanii Future #FutureHive wamemfurahisha msanii wao baada ya kuhakikisha album yake ya tatu inashika namba moja kwenye chati za Billboard 200 . Album hii ya tatu ni Dirty Sprite 2 ni imeuza kopi 147,000 kwenye wiki ya kwanza na kumpa heshima hio msanii Future.
future 2
Billboard 200 Top 10
1. Future – DS2 – 147,000
2. Taylor Swift – 1989 – 50,000
3. Alan Jackson – Angels and Alcohol – 48,000
4. Tyrese – Black Rose – 47,000
5. Jason Isbell – Something More Than Free – 40,000
6. Meek Mill – Dreams Worth More Than Money -39,000
7. Tame Impala – Currents – 38,000
8. Ed Sheeran – x – 32,000
9. Sam Hunt – Montevallo – 30,000
10. Kidz Bop Kids – Kidz Bop 29 – 24,000

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.