Wema Sepetu Alivyopokelewa Kwa kishindo Baada ya kukusa Ubunge Viti Maalum
Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu
wanaogombea Ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini matokeo
yalivyotoka hakupata ushindi kutokana na uchache wa kura lakini pamoja
na hayo mashabiki wake walimuunga mkono kwa kuthubutu kwake na kumfanyia
mapokezi haya Dar es salaam.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za
maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa kura za maoni,
Asharose Mattembe (311), Martha Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).
.
.
Mashabiki wa Wema Sepetu .
Ni miongoni mwa michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 mchana kwenye mapokezi hayo .
.
.
Mtu wangu hii ni michezo iliyokuwa ikitawala leo July 26 katika mapokezi hayo.
.
.
.
Wema akipiga picha na shabiki.
.
.
Petiman akipiga picha aina ya selfie na mashabiki.
Wema Sepetu akizungumza na mashabiki baada ya kutoka safarini.
.
.
.
.
.
Wema Sepetu akipiga picha aina ya selfie na mashabiki zake.
.
.
.
.
.
Mashabiki.
.