Davido akanusha uvumi wa kuwa na mwanamke mwingine,sijachepuka.
Mwimbaji wa muziki kutoka Nigeria Davido ambaye miezi michache
iliyopita alipata mtoto amesema hana mahusiano yeyote kwa sasa na
wanawake wanaoandikwa kuwa naye na vyombo vya habari viache kusambaza
uongo.
Davido amehusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke
aliyefahamika kama Sira Kante ni raia wa Guinea anayeishi Marekani.
Hakuna maoni