Mdundo wa Mayunga nao umeanzia Trace TV yani, cheki pichaz zake nilivyoinasa #OnAir
Mayunga
alikuwa msanii tu wa kawaida TZ, na aliwahi kufanya midundo ambayo
haikumfikisha mbali sana kwenye Bongo Fleva, jina lake likazibeba
Headlines zenye uzito zaidi baada ya kuibuka na Ushindi wa Trace Music Star ambayo fainali yake ilikuwa Nairobi Kenya mbele ya Majaji watatu kutoka Marekani akiwemo Akon pia !!
Kwenye exclusive aliyowahi kufanya na AyoTV pamoja na millardayo.com alisema
kwenye sehemu ya mkwanja ambao ameshinda kule Nairobi zitasimamia
kurekodi audio track, video pamoja na kusimamia promo ya kazi zake.
Makofi matatu mazito ya pongezi kwa mtu wetu Mayunga, miezi michache baadae tunashuhudia matunda ya kilichoahidiwa, kwa mara ya kwanza video yake imeanza kuchezwa Trace Urban, kimataifa zaidi mtu wangu !!
Nimezinasa hizi pichaz wakati ulipoachiwa hewani mdundo huo wa ‘Nice Couple‘ saa 10 mchana July 31 2015.

Hakuna maoni