Mkanye Mwanao: Sikiliza hiyo Track mpya ya RUBY BAND... HATARI SANAAAA

Wanaitwa RUBY BAND ni moja kati ya kundi la muziki wa kizazi kipya wanao fanya vizuri sana, kazikazitz.blogspot.com Baada ya kukutana na Uongozi wa Ruby band walisema wameachia hit song nyengine hatari waliyoipa jina la MKANYE MWANAO nishidaah...

                               SIKILIZA HIYO KAZI HAPO CHINI

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.