Hii ndio nafasi ya kipekee UKAWA kuchukua uongozi Tanzania,
inanikumbusha msisimko tuliokua nao mnamo mwaka wa 2002, tulivyoangusha
KANU na kuanza kujenga nchi upya. Yaani CCM wakikwepa hii na kuponea,
basi ndio kabisa watabaki uongozini. Lazima walijua Lowassa atahamia
upinzani na wapo wamejipanga pia. Yetu macho, tujionee siasa ya Bongo.
LOWASSA Vs MAGUFILI......NANI ZAIDI?
Hakuna maoni