Video,Mapenzi ya nguvu kati ya Meek Mil na Nicki Minaj kwenye video ya ‘All Eyes On You’.
Wimbo mpya wa rapa Meek Mil aliofanya na mpenzi wake Nicki Minaj na mkali wa rnb Chris Brown umekuwa ukipata muda wa hewani mkubwa zaidi kwenye radio nyingi duniani na sasa ni muda wa kuteka tv yako baada ya video yake kutoka.
Video imetayarishwa na Benny Boom na inaonyesha mapenzi ya motomoto kati ya Meek Mil na Nicki Minaj. Bonyeza Hapa Kuitazama VIDEO
Hakuna maoni