Mfahamu zaidi muigizaji wa Empire anayependwa na wanawake zaidi.
Jussie Langston Mikha Smollett Wengi Tuna mfahamu Kama Jamal Lyon Alizaliwa June 21 1983 Santa Rosa, California ,US Ni Mtoto katika familia Ya watoto 6 Akiwa na Kaka watatu na Dada Wawili
Baba Ake Ni Myahudi (Jews) na Mama Ake ana Asili Ya AFRICA
Ni Muigizaji, mwimbaji na mwandishi wa muziki,
Alianza kazi yake Ya Uigizaji Mwaka 1987, Lakini Movie Yake Ya Kwanza Ilikua “The Mighty Ducks” (1992)
Movie Yake Ya pili Ilikua North (1994) Ila Alijizolea umaarufu Mkubwa Duniani Kote, Mwaka 2015 Alipocheza Series kutoka FOX iitwayo #EMPIRE. March 2015 SMOLLET (jamal) Alithibitisha katika interview na Ellen DeGeneres, Kua yeye Ni SHOGA
Hakuna maoni