Maneno ya Keisha kwa kibaka aliyemuibia simu!! yako hapa kwa Soudy Brown…

keisha

Keisha amefanikiwa kuibuka na ushindi katika kura za maoni kupitia CWT viti maalum ikiwa ni mbio za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Leo Soudy Brown kapiga Stori nae na kuzunguzia masikitikio yake ya kuibiwa simu yenye thamani ya milioni 1 na kibaka wakati akizungumza na rafiki yake maeneo ya Kigogo.
Amesema ni bora aliyechukua simu yake akamrudishia  kwa sababu ataifuatilia mpaka ahakikishe anaipata.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.