KING CHIWA New Video Coming Soon
KING CHIWA Baada ya kuku tana na kazikazitz.blogspot.com alisema haya kwa uwongozi wake umejipanga vya kutosha kuwachia track ya LOVER LOVER, video aliyoifanya na moja kati ya madirector wanaosumbua soko la Video Hapa mjini DIRECTOR GODFRED, ambaye ndio mmiliki wa kampuni ya GOBA STUDIOZ. alimalizia kusema kazi iko vizuri anaimani nayo itamrudisha vyema, alimalizia kusema anaushukuru pia sana uwongozi wake na Boss wake COMRED. Pamoja na yote hakuacha kuwa shukuru pia mashabiki wake wote wanaompa surport kivyovyote.
Hakuna maoni