Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka..Adai yeye Ajagalagazwa Ovya Kama Hao Wengine wa Bongo Movies.....
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram,
mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote
wanaomponda eti amezeeka
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa
mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama
mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka
mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa
ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu, nimeshafanya maisha yote hakuna cha
ajabu kwangu nyi kinachowatoa roho sasahivi, tena nikiwa na mume wangu wa ndoa
sio wakushobokea kwasababu nipate kitu na yeye anivuruge tu.
Sioni kipya na bado nawaumiza kichwa mkinitafari ni jinsi
gani mnanipenda na mnanikubali moyoni. Asanteni kwa hilo mnazidi kunipa nguvu
Mungu awabariki sana sijajua kabisa kama bado ninanguvu kiasi hichi, mbarikiwe
sana tim matusi ila muombe sana muwe mnalipa mpaka age yangu mana sura
zimeshawashuka watoto wadogo mwili ndo usiseme nikisimama na nyinyi mnaonekana
vizee vya miaka 70 na mnavyotumika sipati picha sehem nyingine hata
tukisimamishwa uc** bado i will look young puuuu natamani kuwatema mate niki
imagin mlooooh mnataka nini mbona mambo ni yale yale
Embu tulieni watoto
wakike mjiheshim yani na Mungu anavyojua kuwadhalilisha mnalopokaje mitusi yenu
wenyewe nadhani mnajiangalia mlivyo used halafu mnawambia wenzenu mana mngekua
hamko hivyo mmgekua na haya kutamka vitu vya ajabu kama ujawai onamm na myinyi
tofauti sanaaaana kama bado mlikua hamjaja mjini wakati na miaka 26'mi sikua
kama nyinyi nivute nikuvute na wala umaarufu sijauvalia bukta ndo mana
haunisumbui wala haunipeleki puta naishi maisha yangu an am happy siofii
chochote zaidi ya akhera yangu nipo tofauti nyinyi mnaona kama dunia imeshushwa
jana kila kitu kwenu kipya
Muwe na hekima kama adabu imewashinda mbarikiwe katika kheri
na maovu Mungu awaondolee watoto wazuri najua sio kosa lenu poleeeeni eeeh ndo
mliambiwa umaarufu huo ooooo poyeeeee vitotooooo chilieeee come to dadaaaaa.
Hakika Norra, umeumbika mtoto wa kike,wanaosema umezeeka wana makengeza
JibuFuta