Msafara wa LOWASA kuchukua fom ya urais CHADEMA
Hii ni wakati Edward Lowassa alipochukua fomu ya kugombea Urais
kupitia CHADEMA ambapo wafuasi wa chama hicho walimsindikiza kwa msafara
kutokea makao makuu ya CHADEMA Kinondoni mpaka ofisini kwake Mikocheni Dar es
salaam, zaidi jionee mwenyewe ilivyokua kwenye hii video hapa chini.
CHECK VIDEO YA MSAFARA
WA LOWASA
Hakuna maoni