Majibu ya Sheikh Shariff kwa Soudy Brown kuhusu ishu ya kuoa mke wa mtu…. (+Audio
Soudy Brown
alianza na stori inayohusu jamaa mmoja ambae anadai kwamba Sheikh
Shariff amemchukulia mkewe, baada ya madai hayp Soudy Brown kamcheki Sheikh Shariff ili apate majibu ya ishu yenyewe.
Sheikh Shariff
amesema ni kweli amemuoa mwanamke huyo kwa kuwa tayari aliachika na
taratibu zote zilifanyika kwa hiyo alimuoa akiwa tayari kaachika na
hakuwa mke wa mtu.
Kingine ni kwamba Sheikh Shariff
amesema tayari ndoa yao inaendelea na tayari mwanamke huyo ana
ujauzito, kwa upande wa mwanamke amesema waliachana toka mwezi wa nne
2015 na hana habari nae tena toka hapo.
Iko kwenye hii sauti, wote watatu Sheikh Shariff na mkewe pamoja na mwanaume wa kwanza.
Hakuna maoni