Siasa James Mbatia Kumtambulisha Rasmi Edward Lowassa UKAWA.
Headlines
baada ya headlines kuhusu siasa Tanzania zina uzito mpya kila siku…
Imeandikwa sana Magazetini kuhusu Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa kuhama CCM, kilichoteka headlines July 2015 kimeongezea uzito kwenye ishu hiyo.
“Uchaguzi
wa October 2015 ni fursa ya kipekee ya kuleta mabadiliko katika nchi
yetu kuondoa ukandamizi uliojikita CCM… Watanzania wanahitaji Mabadiliko
yenye fikra mpya na bunifu kwa maslahi ya Watanzania wote“>>> James Mbatia.
“UKAWA
tunahitaji Viongozi wenye sifa, uwezo na weledi katika kulinda,
kuheshimu na kusimamia rasilimali za Taifa kwa maslahi ya Taifa..
Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani” >>>> James Mbatia.
Bado Mbunge Edward Lowassa hajajibu chochote kuhusu kuendelea na CCM au kuhama, maneno ya James Mbatia yako hapa kwenye hii sauti.
Hakuna maoni