Mchawi wa Maisha Yako ni Wewe Mwenyewe asema Shamsa Ford
NIDHAMU ni silaha kubwa katika maisha.kuna ambao Mungu
aliwabariki kwa nafasi zao lakini hawakuweza kutumia nafasi zao vizuri
kwasababu ya kukosa nidhamu.walihisi wao ni bora kuliko wengine ndo maana
walibarikiwa.
Mwisho wa siku wakishapotea au mambo kwenda tofauti na
walivyokuwa wanadhania wanaanza kulaumu watu.Wengine wataingia hadi kwenye
ushirikina kwa kusemwa wamerogwa..Mchawi wa maisha yako ni wewe
mwenyewe...MUWEKE MUNGU MBELE,KUWA MVUMILIVU,ACHA TAMAA,FANYA KAZI KWA BIDII,
PENDA KUJIFUNZA NA KUBALI USHAURI
Shamsa Ford "@shamsaford" on instagram
Hakuna maoni