Picha,Kanye West alivyokutana na Mama mkwe wa pili ‘Caitlyn Jenner’ kwa mara ya kwanza.

Rapa Kanye West ambaye ni mume wa Kim Kardashian amekutana kwa mara ya kwanza na  aliyekuwa baba yake Kim K ‘Bruce Jenner’ mbaye amebadilisha jinsi yake miezi miwili iliyopita iliawe mwanamke na kujiita Caitlyn Jenner.
Caitlyn Jenner Aliwaalika Kanye Na Kim Katika Uzinduzi wa Tv Show inayoitwa I Am Cait itayokua ikiruka jumapili kwenye kituo cha E!
Caitlyn Jenner (Bruce Jenner) Alisema.. “Kanye and I have never been really close, but I love his open mindedness and I love how he’s helped Kim come to grips with what is going on” .
i am cait
caitlyn-kim-kanye
               
                       

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.