ESTER BULAYA Ameingia Tatu Bora ...KATIKA WILAYA YA BUNDA NA KUWA MTU WA TATU
PIUS KURA 61
MAGEMBE KURA 40
BULAYA KURA 37
FRANK KURA 35
MAGANJA KURA 5
JANE KURA 0
CHACHA KURA 0
Katika Ukurasa Wake wa Facebook Ameandika Hivi:
CHADEMA tunaendelea tulianza na mungu tunamaliza na
mungu, nawashukuru sana wanachadema Bunda kwa kunipokea na kunipa heshima
kubwa, mbali ya ugeni wangu ndani ya chama mmeonyesha mnaniamini.
mmenipendekeza kwenye majina matatu ili kusubiri uteuzi wa vikao vya kamati kuu
vitakavyoamua nani apeperushe bendera katika jimbo la Bunda. Lakini pia
mkanipendekeza kuwa namba moja kwenye viti maalum kwa kura nyingi. Nawaahidi
sitowaangusha, yeyote atakae pita kati yetu tutashinda Bunda Mjini. Mungu
ibariki Chadema ibariki Tanzania.
Hakuna maoni