Ajali za kuchekesha… zinazotokea alafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje?
Nilikua natembelea mitandao mbalimbali leo nikakutana na hizi
wanazoziita ajali zinazochekesha, ajali zenye maswali mengi…. ilikuaje
mpaka dereva akapanda nalo juu ya bati? alielizamisha swimming pool je?
huyu wa Lori hapa chini na yeye alitisha.. kabinua mzigo na gari zima.
MyIndiaPictures.com
Hakuna maoni