Timaya na ubakaji, mchumba wake kaonyesha mtoto wao.
Baada ya mwanamke aliyefahamika kama Shella B kusema kuwa amebakwa
na msanii Timaya walivyokutana nchini Marekani, mama watoto wa Timaya
ajibu tuhuma hizo kwa post ya instagram.
Shella B alisema Timaya amembaka walivyokutana Marekani ila Timaya
alikanusha tuhuma hizo nakusema ” Ni kweli walikutana na kufanya tendo
la ndoa ila hajambaka, na Shella B aliomba waende naye kwenye show kama
wapenzi ila Timaya alikata na kusema yupo kikazi zaidi kwenye mjii huo ”
.
Mama watoto wawili wa Timaya aliandika hivi Instagram na ujumbe wake uliambatana na picha ya mtoto wao mchanga .
“Even when the devil tries to steal my happiness your smiles sunshine makes life more beautiful…..Happy Sunday ya all?”
Hakuna maoni