Jacqueline Wolper… Amfuata Edward Lowassa Ukawa!

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Wolper alisema kwa mapenzi aliyonayo kwa Lowassa yupo tayari kwenda kokote hata kama siyo Ukawa.
“Mimi ni ‘Team Lowassa’, atakapohamia nami niko nyuma yake hata kama siyo Ukawa, nitamfuata, mimi na Lowassa ni damdam, hilo halina ubishi,” alisema Wolper
Hakuna maoni