Rapa wa Nigeria ataka rapa Battle na Drake,asema Dis kwa Meek Mil haina nguvu.
Baada ya Meek Mil kuchakazwa na Drake sasa rapa mkali kutoka Nigeria amesema Dis ya Drake kwa Meek mil haina nguvu yeyote na yuko tayari kufanya rapa Battle na rapa Drake.
Rapa huyu anafahamika kama Vic O na alitumia twitter yake kusema haya.
“Nimekaa ofivini nasikiliza mashairi ya Drake kwa Meek mil naona mistari imekufa, nauhakika wakumfunika kwenye rap battle’ Drake naweza kukushinda wewe, mimi sivuti bangi ila navuta midundo mikali ”
Hakuna maoni