Kim Kardashian awapa ushauri twitter ‘ingekuwa powa pangekuwa na chaguo la kuedit twit’ alijibiwa hivi.



kim-k-phone
Mwanamitindo na Tv Personality toka Pande Za Los Angeles California Kim Kardashian amefunguka na Kusema anataka awasaidie watengeneaji wa mtandao wa Twitter ilikuboresha mtandao wao Kim alisema ” Nataka kuwashauri waweke sehemu ya EDIT Ili ukikosea kutweet [Miss Speell] uweze kurekebisha bila kufuta twit yako” .
Pia Nusu Saa Baadae Twitter walimjibu nakusema “Ni wazo Zuri watalifanyia kazi.. “great
idea! We’re always looking at ways to make things faster and easier” .

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.