Tazama hapa Trailer ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’.

spectre
Hii ni Official Trailer ya filamu mpya ya James Bond iliyopewa jina ‘Spectre’ na imeigizwa na James Bond wa sasa ambaye ni Daniel Craig.
Hii ni filamu ya 24 ya JB na waigizaji wapya ni Monica Bellucci na Lea Seydoux.

CHECK HAPO CHINI KUONA MOVE

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.