X wa Nicki Minaj ‘Safaree Samuels’ amemchana Meek Mill,huwezi mfikia Drake.



safaree-samuels
Aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj ‘Safaree Samuels’ amemchana tena rapa Meek Mill kwenye wimbo wake moya ‘Life Line’
Safaree anasema ” Meek Mil kufikia mauzo ya Drake ni ndotoni tu  ila bado wanamponda na kazi zake ambazo bado sio kubwa kama zao ” .
“You dream about Drake numbers in your nightmares / But ya’ll hating on me and my little career,”
Safaree pia amemtakia kila laheri Nicki Minaj kwenye album yake mpya baada ya kusema yeye ndiye aliandika album ya The Pinkprint sasa sijui nani atamwandikia tena Minaj.
“This nigga bent outta shape with a gorilla face/ My bars on The Pinkprint no one will ever match,” Safaree raps and then wishes Nicki good luck on her next project, “Now that I’m gone, good luck with them punchlines/ Sincerely yours, Safaree, flatline.”
Nicki Minaj alikanusha hivi karibuni kuandikiwa mistari na Safaree nakusema “No bitch ass nigga has the intellect to write for me.”.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.