Waziri mwandamizi katika serikali J.K amemtuhumu bosi wake kuwa alikuwa
na majina ya wagombea tano bora mfukoni mwake.Rais Kikwete,ndiye
aliyeongoza kikao cha maadili cha CCM,kilichowakata akina
EL,Mwanndosya,Pinda,Dr Bilal.
Chanzo:RFA,Habari magazetini
Hakuna maoni