Uncle G a.k.a MATUKUTU Analia na GAME ya Zouk
Msanii mkali wa kizazi kipya UNCLE G hivi karibuni alikutana na kazikazitz.blogspot.com kwa mazungumzo alikuwa na haya yakuongea kwa mashabikizake na wate wanao penda muziki mzuri Duniani
MOJA YA VIDEO YA UNCLE G ft KITOKOLOLO-NCHABWEDE
"Matukutuku aka Uncle G kitambo kidogo nilifanya vizuri na ngoma ya nataka kucheza na wewe ambayo ni mahadhi kama ya KWAITO kisha nilitoka na maneno maneno ambayo ni bonge moja ya ZOUK na video yake nzuri sana kisha nikafanya ngoma flani hivyi kama BOLINGO hivi inaitwa Nchabwede ft Kitokololo video yake ipo kiasili, Kali sana pia sasa najiandaa kuachia ngoma zangu mpya mbili double moto na maji ft Dyne Nyange na Kiboko yao nimefanya na Man Water zote Kali na amini Mashabiki wanaopenda mziki mzuri wata enjoy"

Hakuna maoni