CHAGAMA AJANA (RAGGA)...
Msanii wa kizazi kipya CHAGAMA MAX amekuja na Track mpya ya Regge iliyofanyika studioya
KAUSHA RECORDS chini ya producer
BUNY MUSIC/KIBA DRAMA akizungumza na kazikazitz.blogspot.com kuhusiana na story ya ngoma yake hii alisema "
Imetokea baada ya
CHAGAMA MAX kutendwa na girl friend wake waliotoka nae mbali,
Baada ya kumwambia anachagua kazi, Hataki mwanaume asiokuwa
na kazi, baada ya muda akamtenda kwa kujihusisha kimapenzi na aliyekuwa
kiongozi wake wa kazi. Kilichomuuma sana huko alipoenda kwa boss, Boss huyo
hakuwa ametulia na mmoja. Hapo ndipo alipo pata Idear ya ngoma hiyo kali na
kuipa jina la NIISHINAWE"
Pia alitoa Historia yake fupi "Nimeanza mziki since2005 dodoma nikiwa mmoja wa kundi linaloitwa west miyu,chini ya studio inayoitwa coco record nikiwa na produza Atha pamoja na produza wa sasa anayefahamika kama mswaki...niliendelea kukaza buti mpk mwaka 2008 nikarecord truck yangu inayoitwa huyu manzi iliyofanyika na maproduza wawili akiwamo nass biznes na monagangter ndan ya pamoja records,mpk kufikia mwaka 2013 nilitambulisha nyimbo yangu inayoitwa makombora nilio record kausha music chini ya produza kiba drumer.nikimshirikisha becka title kutoka kundi la b.o.b micharazo.wimbo huo ulinifanya nifahamike na baadhi ya wadau wa mziki kwani ulifanya vizur kwenye baadhi ya media za hapa nchini nakunipa jina..so kwasasa nimerudi na ngoma inayoitwa muda mali niliofanya tripple one record kwa prdza kizzo one..Ninachowaomba watanzania nawadau wote watasnia hii ya muziki waweze kunipokea vyema nami niweze kufika pale panapostahili kufika..Asante...team Dallaz from drillers done..kaz kaz"
Alimalizia kusema "
kwenye mipango ya kuachi kichupa hivi karibuni.. na production ya NISHER BABY au ADAM JUMA."

Hakuna maoni