UNATAKA KUONA VIDEO MPYA ya Kcee na Diamond Platnumz

Love-Boat-Video-670x431
Siku chache zilizopita msanii Kcee kutoka Nigeria aliachia wimbo wake mpya uitwao Love Boat aliomshirikisha  superstar kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Leo nina good news kwa ajili yako mtu wangu, video ya Love Boat imetoka tayari. Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza Play kuitazama.

TEMBELEA LINK HAPO CHINI....

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.