Rais JK ametuachaje?
Rais JK
amesema ametuacha vizuri kwa kufanikiwa kupambana na Malaria kuhusu
ugonjwa wa Malaria TZ, Vichwa vingi vya habari vina stori kuhusu UKAWA
kuchafua hali ya hewa Bungeni.
Pazia la urudishaji fomu CCM limefungwa, wanne washindwa kurudisha… Mzee Pius Msekwa amesema
Kikao cha kujadili Wagombea CCM kitaendelea ila hajui kitaisha lini,
wakazi wa Temeke wamesema hawataki mgawanyo wa Majimbo, Wakala wa
Majengo amesema wataanza ujenzi wa Ghorofa nne kwa siku nane TZ.
Magaidi watano wamekamatwa mkoa wa
Pwani, mmoja akutwa akinywa supu ya Kuku, Uandikishwaji wa Wapigakura
kwa BVR kuanza Julai 7 mpaka 25 Mikoa ya Dar na Pwani.. Stori zote kubwa
ziko hapa kwenye hii sauti niliyorekodi Uchambuzi wa Magazeti
#PowerBreakfast
Hakuna maoni