SHEBBY LOVE: Mzee wa BAIKOKO, Hizi ndo sababu za Ukimya wangi..

             SHEBBY LOVE Mzee wa BAIKOKO

         SHEBBY LOVE Mzee wa BAIKOKO

 Msanii mkali wa kizazi kipya SHEBBY LOVE anaetamba na vibao vingi na hit kibao kama BAIKOKO aliyo mshirikisha BECKA TITTLE kutoka B.O.B,  Hivi karibuni alipo kutana na kazikazitz.blogspot.com kwenye interview fupi alikuwa na maneno hayo kwa mashabiki wake...
 " Now nipo jikon najiandaa kwa ngoma mpya hadi tareh 20 mwez wa 8 itakuwa nishajua ratiba inatoka Lini, Na bado najipanga vizuri stak kufeli, Baikoko imenifanya niogope kutoa kazi bila kujipanga coz tangu nianze kubajet kuhusu nyimbo majibu yametiki nilipoi toa hii nyimbo ya baikoko niliemshirikisha becka title imekuwa nyimbo kubwa Sana so najipanga mashabiki wangu wakae mkao mzuri kupokea vitu vizuri zaidi" Shebby Love alimalizia hiyo

 BONYEZA LINK HAPO CHINI UJIONE
 VIDEO YA BAIKOKO 
                    

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.