Kutoka muziki wa TAARAB mpaka BONGO FLEVA je atawezaaa......!!
Mossy Suleman
Msanii wa taarabu Mossy Suleman ameamua kuingia katika
bongo fleva na kusema kwamba yeye nibora na anaweza kucheza kote
hisipokuwa kwa sasa ameamua kufanya nyimbo kali yenye msisimko mkumbwa
kwa watu na wapenzi wake wa taharabu
Pia amesema kwamba kwamba
nyimbo hiyo amefanya kwa hisia kubwa akiwa na mwalimu wake wamuziki wa
bongo fleve uncle Some,nakusema sijawahi kuona mimi pia nyimbo hiyo
inakwendwa kwa jina la mazoea akiwa mtumzi uncle some nakuamua kufanya
naye kazi kwa sababu Uncle Some uwa abahatishi katika utungaji,

Uncle Some & Mossy Suleiman
Analipi lakusema katika muziki wake wa taharabu kiukweli mimi mossi
suleman niwaambie tu kuwa sitowaacha na sitowaangusha cha msingi
mnipokee kama mlivyo nipokea katika taarabu,
Hakuna maoni