Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders
wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali
za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa
hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika
lakin umegeuka kuwa hit song.
Hongera kingkiba.
Hakuna maoni