SABABU ZA ALIKIBA Kutoku follow watu INSTAGRAM
Alikiba ni msanii mkubwa wa Bongo Flava ambae
anafanya vizuri kimuziki na ukitembelea mitandao ya kijamii ya Alikiba
utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.
Lakini ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwanini msanii huyu wa bongo flava hajamfollow mtu yeyote kwenye page yake ya Instagram? Sababu zake ni zipi? Nimekutana na post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kupiga stori na Alikiba na kumuuliza swali hili.
Kwenye post hiyo Alikiba alikuwa na haya ya kusema.
Hakuna maoni